Lyrics

Ni wee Oh Yesu (Ni wee) Mhm (Ni we×2) Hufananishwi na yote yule Wewe ni wa kipekee Kifo na mauti ukapiga teke wewe ni wa kipekee Dunia nzima Umetukuka kwote Dunia nzima Umetukuka kwote Sasa sina mwingine ila (ni wee) Kimbilio, tegemeo langu (ni wee) Ni mtazamie nani ila (ni wee) Yesu (ni wee), Baba (ni wee) Mungu anainuwa watu wote ehh Anaangalia ndani ya roho yako ohh×2 Mtafute×4... ... Kila siku tuko mbiyoni Tukitafuta maisha bora Tunasahau kutafuta Mungu ni bora Utafuteni Ufalme wa Mungu kwanza Hayo mengine Yote yatafuata Heyyy huina mwingine ila (ni yee) Kimbilio, tegemeo lako (ni yee) Umtazamie nani ila (ni yee) Yesu (ni yee), Baba (ni yee) Yeiyeh eiyeh iyehh Mungu anainuwa watu wote ehh Anaangalia ndani ya roho yako ohh×2 Mtafute×4... Yeye pekee Hatuna mwingine×2 No×3 Oh Yesu Mhm Wewe hah wewe yah weweihh Mungu anainuwa watu wote ehh Anaangalia ndani ya roho yako ohh×2 Mtafute×4... Ohhh, Mtafute Mtafute. Mtafute ehhh
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out