Top Songs By Angel Benard
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Angel Benard
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Angel Benard
Composer
Lyrics
Heieee aaah
Haaaaooo
Mmmmmm
Nionapo amani kama shwari ama nionapo shida
Kwa mambo yote umenijulisha ni salama rohoni mwangu
Nionapo amani kama shwari ama nionapo shida
Kwa mambo yote umenijulisha ni salama rohoni mwangu
Salama rohoni
Ni salama rohoni mwangu
Salama rohoni
Ni sakama rohoni mwangu
Ingawa shetani alinitesa nalijipa moyo kwani
Kristo uliuona unyonge wangu ulikufa kwa roho yangu
Dhambi zangu zote wala si nusu ziliwekwa msalabani
Wala sichukui laana yake ni salama rohon mwangu
Salama rohoni
Ni salama rohoni mwangu
Salama rohoni
Ni salama rohoni mwangu
Salama rohoni
Ni salama rohoni mwangu
Salama rohoniiiiii
Ee Bwana imiza siku ya kuja panda itakapolia
Pale utaposhuka wala sitaogopa Ni salama rohoni mwangu
Salama rohoni
Ni salama rohoni mwangu
Salama rohoni
Ni salama rohoni mwangu
Kwako salama(salama rohoni)
Kwako salama Yesu(ni salama rohoni mwangu)
Salama rohoni
Ni salama rohoni mwangu
Salama rohoni
Ni salama rohoni mwangu...
Writer(s): Angel Benard
Lyrics powered by www.musixmatch.com