Lyrics

Shamma we ni Jehovah dear Umenibeba juu Halleluyah Umenijenga juu ya Mwamba Mungu umejaa wema na mapendo Nimeona uzuri wako ooh Nani wa kufanana na Ebenezer, Mungu wa Israeli Wa kupenda na kuchukua ni wewe Jehovah Umenifanya mrithi wa kusudi lako wema kabisa eeh Nimtumaini yeye yeeh Yeye nani ila, ila Ebenezer Umenibeba juu Halleluyah Umenijenga juu ya Mwamba Mungu umejaa wema na mapendo oh Nimeona uzuri wako ooh Na bado unanikumbatia wakati wa mawimbi Tena bado unanizingatia na kunipa tumaini Nafsi yangu ninakupatia ifinyange Nitalinda moyo wangu uh ukufwate Umenibeba juu Halleluyah Umenijenga juu ya Mwamba Mungu umejaa wema na mapendo oh Nimeona uzuri wako ooh Sifa na ibada nyimbo za utukufu Yote kwako moyoni mwangu natoa Sifa na ibada nyimbo za utukufu Yote kwako moyoni mwangu natoa Sifa na ibada nyimbo za utukufu Yote kwako moyoni mwangu natoa Umenibeba juu Halleluyah Umenijenga juu ya Mwamba Mungu umejaa wema na Mapendo oh Nimeona uzuri wako ooh (Umenibeba) umenibeba juu (umenibeba, umenibeba) Umenijenga juu ya Mwamba Mungu umejaa wema na mapendo oh Nimeona uzuri wako ooh Nimeona uzuri wako
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out