Lyrics

Mmh sawa Mi sio adhi yako Ila moyo ndo umekufa kwako Ni mbaya izo kauli zako Eti mimi mtungi haruki jogoo Unanichuna chuna tu vipesa vya mkaa Nikishakupaga vipesa tu unanikataa Unanichuna chuna tu vipesa vya mkaa Nikishakupaga vipesa mmh, unanikataa Nipende ata kwa kudanganya mamaa Ukiniacha sitakuja kupenda tena Si kwa manati, si kwa mkuki Kwa bastola yeyee Hautegeki (wo wo wo wowo) Hautegeki Ata kwa sila gani mama Hautegeki Oh napata taabu wewe Hautegeki Ulinilaza gesti Nikapiga simu sikupati Baby mbona mkorofi Na kwanini unafake promise Hautegeki Na jinadi nikiwa na wenzangu Kwamba we ndo mke wangu Ila anajua Mungu Shida nazopata kwako wewe wewe Aki ya Mungu nadata kwako wewe wewe Nishakupa unachotaka Mara unanitukana Ukiwa na wenzako unataka sifa yaani Sababu kidogo unataka tugombane Izo tabia za samahani honey tutakosana Unanichuna chuna tu vi pesa vya mkaa Nikashupaga pesa tu unanikataa Unanichuna chuna tu vi pesa vya mkaa Nikishakupaga vipesa mmh unanikataa Nipende ata kwa kudanganya mama Ukiniacha sitakuja kupenda tena Si kwa manati, si kwa mkuki Kwa bastola yeye Hautegeki (wo wo wo wowo) Hautegeki Ata kwa silaha gani mama Hautegeki Oh napata taabu wewe Hautegeki Mara kunitukana Ukiwa na wenzako wataka sifa yaani Sababu kidogo unataka tugombane Izo tabia za samahani honey tutakosana
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out