Lyrics

Aiyolela Vitamu tamu unavyovitaka Ndo vinafanya nitafute Haramu ramu kukuacha Sasa kivipi nikuache Gusa moyo wangu nami niguse wako Niko peke yangu nawe uko peke yako Kama kukupenda nilikupenda mwenyewe Atayefanya niwe chizi ni wewe Na nitagharamia upate utakacho wewee Ninachohofia usije niacha mwenyewe my boo Me kwako ni koko tu (koko tu) Sioni sisikii (koko tu) Kama ni kisu nikidugi (koko tu) Kimeishaa makali (koko tu) Tatizo nini kinachofanya unune Na kwanini unataka tugombane? Baby me ni wako Nakuruhusu unichune Kama ni kamari kwako Upepo wako unipune Kama kukupenda nilikupenda mwenyewe Atayefanya niwe chizi ni wewe Na nitagharamia upate utakacho wewee Ninachohofia usije niacha mwenyewe my boo Me kwako ni koko tu (koko tu) Sioni sisikii (koko tu) Kama ni kisu nikidugi (koko tu) Kimeishaa makali (koko tu) Nimenasa kwenye mtego wako weweee Sina ujanja uko peke yako weweee Nipo tayari kufa kwa ajili yako weweee Nikumbatie baby niweze karibu yako weweee Vest wagongeee Casian baba Zungu waambieee
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out