Music Video

Featured In

Lyrics

Ka imeweza imeweza na Kakienda basi enda nayo Ka imeweza imeweza na Ukibebwa basi bebwa nayo Kitu safi iende chain chain Mali safi iende chain chain Kitu safi iende chain chain Mali safi iende chain chain Wamlambez ka ulimi Nishakuwa champez na imewacha kuwa siri Ndio maana navaa machain na machingri Na siku hizi hata ukikam na sanse sishikiki Na daily niko biz na mabigfish wa jiji Ma cheque husigniwa hadi kalamu haziandiki Maweng kibao kuzibeba ni tizi Nakaa kanisa empty hakuna Kasisi Baadae niko rieng ya madrinks na mayengs By 9 niko tings naona nikibleki ten Sai siko right so itabidi nimeleft Ju pori venye ziko brathe ni ka zimedent Ka imeweza imeweza na Kakienda basi enda nayo Ka imeweza imeweza na Ukibebwa basi bebwa nayo Kitu safi iende chain chain Mali safi iende chain chain Kitu safi iende chain chain Mali safi iende chain chain Mi na maChampez tunapop ma Champagne hadi Mama ploti anacall masanse aki Dhani ni magunshot za Bunde nanii Siku hizi tumekafunga tukatupa key Ndio maana me hudunga ka msumari Na kitu imebaki ni kumea tu kitambi Juu ndani ya walenje nina kambi ya ganji Na siku hizi sina rende nina gang ya wafuasi Ka imeweza imeweza na Kakienda basi enda nayo Ka imeweza imeweza na Ukibebwa basi bebwa nayo Kitu safi iende chain chain Mali safi iende chain chain Kitu safi iende chain chain Mali safi iende chain chain Mimi ni kama dredy after nywele shaggy beiby Better and improved making power moves daily Siku hizi siwezi loose chance niko radar deadly Na kama movie ya romance siwezi kosa pengting Nipe rieng gathee nicheze ka me Nakam na ma sss, mayengs na madrinks Acha bash ibeng ka speaker ya ma3 Wakiteta ki Akothee waambie call police (Call them) Ka imeweza imeweza na Kakienda basi enda nayo Ka imeweza imeweza na Ukibebwa basi bebwa nayo Kitu safi iende chain chain Mali safi iende chain chain Kitu safi iende chain chain Mali safi iende chain chain
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out