Credits

PERFORMING ARTISTS
Mayunga Nalimi
Mayunga Nalimi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mayunga Nalimi
Mayunga Nalimi
Songwriter

Lyrics

Oh yeah Oh yeah, yeah eh Oh yeah, mhh Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah Oh yeah yeah yeah Ninavyokawazia, katanipa murder case wewe Nami nakamia, nimenasa sichomoki wewe Mh, kimo cha ngamia, nikiweka sikukosi wewe Wazee wa kudandia, watupishe na mikosi Oh-oh akiwa nami, anavyoniongoza hata gizani Nishafikia midadi mtoto chumbani Kwako ninamwaga ye-ye, iye ye Nishaweka ngao kanipa vitamu nishatosha kiganjani Wako wazima bao, nishakuwa timamu sina time na visamaki ye-ye, iyee Chochote unachotaka mimi kwangu sawa Ushanichanganya na Medulla ye Na tena ukinigusa mimi hali mbaya ohh Kwani naona mazigizaga Naona mazigizaga Everybody say ninaona mazigizaga ye Mi naona mazigizaga ah Baby naona mazigizaga Inna mi naona mazigizaga Yo de man say mi naona mazigizaga ye Mi naona mazigizaga oh Oh yeye eh, koma yeh Minakoma yeh, oh yeh Koma yeh, mi nakoma yeh Oh-oh yeah, yeah, yeah Oh zagaya, zagaya ya ya Ning'inia, bembembea Siwasikii hata wakiongea Uking'ang'ana nachochea Penzi lisilondolee yeh, yeah Ning'inia, bembembea Siwasikii hata wakiongea Uking'ang'ana nachochea Penzi lisilondolee yeh, yeah Ah Mungu Baba kaumba bless up yeah Hapakai hata akifuta make up yeah Mungu Baba kaumba bless up Penzi lisilondolee Chochote unachotaka mimi kwangu sawa Ushanichanganya na Medulla ye Na tena ukinigusa mimi hali mbaya oh oh Kwani naona mazigizaga Naona mazigizaga Everybody say ninaona mazigizaga ye Mi naona mazigizaga ah Baby naona mazigizaga Inna mi naona mazigizaga Yo de man say mi naona mazigizaga ye Mi naona mazigizaga oh Oh-oh akiwa nami, anavyoniongoza hata gizani Nishafikia midadi mtoto chumbani Kwako ninamwaga ye-ye, iye ye
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out