Lyrics

When you had that love one You better lov him cherish for real meeeehn YNWA aaaah Yeiye eeeh ou ou eeeh Turuuum turuuum yeeh She wakes up early in the morning Kitandani hakuoni Kumbe unakesha tuu bar Hata sim yako ya mkononi hupokei hupatikan Ana hofu we unakula raha Anasema anakupenda sana lakini unamtesa bwana mlipanga mje kufunga ndoa lakini unampotezea Anatamani kunywa hata sumu akikukosa wee kaka weee Anaona maisha hayana maana bila penzi lako wee kaka wee Mi nalilia penzi penzi unachezea penzi anakupa mapenzi(penzi) unaleta ushenzi(shenzi) Watakushangaa wee Watakushangaa Eeeh aah Let me talk to them ladies now Sometimes you hurt so bad... Listen Mpenzi gani unataka Kitu gani unataka mbona hujielewi wew Pesa gari na nyumba kila kitu amekupa Mapenzi yake kwako ni telee Anasema anakupenda sana kwann unamtesa bwana mlipanga mje kufunga ndoa lakini unampotezea Anatamani kunywa hata sumu akikukosa wee dada wee Anaona maisha hayana maana bila penzi lako wee dada wee Ooouh oouh Mi nalilia penzi unachezea penzi(penzi) anakupa mapenzi(penzi) unaleta ushenzi(shenzi) Watakushangaa weee Watakushangaa YNWA Switcher baby Rockaaaa Am out
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out