Lyrics

Ooooohh... hhhoooo... hhhhoooo Juliana wee sijui nianzie wapi Lakini kuna jambo nataka kukueleza Yule bwana eeehh mm na yeye tunahadithi na yeye hucheza ule mchezo wa pata potea (do you remember) Mm na ww ni marafiki toka zamanii Siwezi kukudangaanyaa,nia yangu kukulinda tokana na mwizii Mwizi wa mapeenzii Mpita njiaa mpitaa njiaa Asante yake mateke kwalo hatokaa milele Mpita njiaa, mpita njiiia kesho atapata mwingine kukuaga alivyoniaga Pilipilii usioilaa yakuwashua ninini Bahati yangu sio yakoo hilo juaa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out