Lyrics

Ninaona bora afadhalli basi nioe mke basi muwe wawili Nimepungua yangu imani, wananicheka ona majirani Penzi nilo kumwagia, utamu wa ndoa unaniishia (aah) Wazazi wanaulizia, mpaka lini watasubiria? Eh Nayaheshimu yako maamuzi, mara mbili fikiria Ujana moshi hauna ujuzi, sote njia tunapitia Nayaheshimu yako maamuzi, oh, oh Ujana moshi hauna ujuzi, mke wangu, eeh Naona bado, naona bado (hujarudhia kuishi na mimi) Naona bado, naona bado (ndio maana hutaki kuzaa na mimi) Naona bado, naona bado (hujarudhia kuishi na mimi) Naona bado, naona bado (ndio maana hutaki kuzaa na mimi) Ah éh, éh, ah, éh, éh, éh, éh Ah, éh, éh, éh, éh Mbona ogfya hadharani, na matisho za mke wa pili Najawa mie na majonzi, kwa kujua tena hauniamini Naomba uwe na subira, sioni jinsi sitaki kukuzalia (aah) Wakati wetu utafika, tuwe na sisi familia Hayaheshimu yangu maamuzi, naomba penzi wewe subiria Hili jambo nzito la uzazi, bado mie nalifikiria Heshimu yangu maamuzi, oh, oh Hili jambo si la ujuzi, bado mie nafikiria Naomba bado, naomba bado (muda hujafika kuzaa nawe) Naomba bado, naomba bado (subiri kidogo bwana we) Naomba bado, naomba bado (muda hujafika kuzaa nawe) Naomba bado, naomba bado (subiri kidogo bwana we) Ah, ah, ah, ah, ah Héh, héh, héh, hei yi Nimejaribu kukwambia, hebu tuzae hata mtoto mmoja Majibu nimesubiria, sikuelewi, daily unasema ngoja Unaogopa kupoteza ujana? (No) unataka tuishi kama jana? (No) Eti bado mapema (yeah), kifungu gani cha ndoa kimesema? (Kipo) Hayaheshimu yangu maamuzi, naomba penzi wewe subiria (aah) Hili jambo nzito la uzazi, bado mie nalifikiria Nayaheshimu yako maamuzi, oh,oh Ujana moshi hauna ujuzi, mke wangu eh, eh Naona bado, naona bado (hujarudhia kuishi na mimi) Naona bado, naona bado (ndio maana hutaki kuzaa na mimi) Naomba bado, naomba bado (muda hujafika kuzaa nawe) Naomba bado, naomba bado (subiri kidogo bwana we) Sudi we! Wacha papara (aah), muda wetu utafika...
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out