Lyrics

Mi ningefanya na nani Kama usingekuwaga wewe Mapenzi ningeyajuliaga wapi Japo na uzuri wa angani Nami kifaranga we mwewe Na wala hujanifanya kitu mbaya Nishapitiaga magharibi Nikatokeaga mashariki Nikachomwa jua na baridi Kusafa sifa kama zako Kwako nimetulia maji kwenye mtungi Utake nini nikapambane nikupatie Mi kwako nimefika Kigoma mwisho wa reli Ukiniacha na wewe nitapururuka nitabakia Kongoro! Na si nitakonda nitabaki mifupa Kongoro! Mwenzako mawazo yatanimaliza Kongoro! Ukiniacha mwenzako nitaliwa na upweke Kongoro! Aaa yii aaah aah Kwanza nani atatokea Awezekano – ndengea Chakula cha usiku nisosomo Nisosomolee Nani atajua kuniponza ka siko sawa Turumbwe na usahifu aah Nikiambiwagwa mabaya ya kuhusu wewe Masikio inaziba yenyewe Sielewagi naona vitu vyajipa vyenyewe Kwako nimetulia maji kwenye mtungi Utake nini nikapambane nikupatie Mi kwako nimefika Kigoma mwisho wa reli Ukiniacha na wewe nitapururuka nitabakia Kongoro! Na si nitakonda nitabaki mifupa Kongoro! Mwenzako mawazo yatanimaliza Kongoro! Ukiniacha mwenzako nitaliwa na upweke Kongoro! Aaa yii aaah aah Kongoro! Na si nitakonda nitabaki mifupa Kongoro! Mwenzako mawazo yatanimaliza Kongoro! Ukiniacha mwenzako nitaliwa na upweke Kongoro! Aaa yii aaah aah Mi nitakonda nitabaki mifupa Mwenzako mawazo yatanimaliza
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out