Lyrics

Mmmh Maujaaah Mocco Aah mon bebeeeh Aah mon bebeeeh Nimetosheka nimeridhika na weeeh Aah mon bebeeeh I'm already eh I'm already Umeniteka umenishika I swear Aah mon bebe Ni kama nimeona mbalamwezi mchana Nikikutazamaaa Maana mzuri sana Tena twaendanaaa Washa nifata mi nikawakataa Washakufata we ukawakataa Mmmh Milele mi na weeeh Mi naaaah Milele mi na weeeh Mi na weeeh Forever mi na we Mi naaaah Milele mi na weeeh Mi na weeeh KOMPAAAAH Oyeea Leo nakemea mapepo Ya kutamanitamani vihela vyao Nakemea pepo Ya kutamanitamani vishepu vyao Mara ngapi baby Mi nalia unanibembeleza we mwenyewe Unalia nakubembeleza mi mwenyewe Wao hawajui watuache Tafadhali my wangu nipunguzie utamu Taratibu my wangu ooh nipunguzie utamu Washa nifata mi nikawakataa Washakufata we ukawakataa Milele mi na weeeh Mi naaaah Milele mi na weeeh Mi na weeeh Mpaka kufa mi na we Mi naaaah Oooh na weeeh Mi na weeeh(ohh yeah) KOMPAAAAH
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out