Top Songs By Mocco Genius
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Marioo
Vocals
Mocco Genius
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mocco Genius
Lyrics
Passo
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Producer
Lyrics
Mmmh
Maujaaah
Mocco
Aah mon bebeeeh
Aah mon bebeeeh
Nimetosheka nimeridhika na weeeh
Aah mon bebeeeh
I'm already eh
I'm already
Umeniteka umenishika I swear
Aah mon bebe
Ni kama nimeona mbalamwezi mchana
Nikikutazamaaa
Maana mzuri sana
Tena twaendanaaa
Washa nifata mi nikawakataa
Washakufata we ukawakataa
Mmmh
Milele mi na weeeh
Mi naaaah
Milele mi na weeeh
Mi na weeeh
Forever mi na we
Mi naaaah
Milele mi na weeeh
Mi na weeeh
KOMPAAAAH
Oyeea
Leo nakemea mapepo
Ya kutamanitamani vihela vyao
Nakemea pepo
Ya kutamanitamani vishepu vyao
Mara ngapi baby
Mi nalia unanibembeleza we mwenyewe
Unalia nakubembeleza mi mwenyewe
Wao hawajui watuache
Tafadhali my wangu nipunguzie utamu
Taratibu my wangu ooh nipunguzie utamu
Washa nifata mi nikawakataa
Washakufata we ukawakataa
Milele mi na weeeh
Mi naaaah
Milele mi na weeeh
Mi na weeeh
Mpaka kufa mi na we
Mi naaaah
Oooh na weeeh
Mi na weeeh(ohh yeah)
KOMPAAAAH
Lyrics powered by www.musixmatch.com