Lyrics

Niliangamiaaa Kwakukosa maarifa. Hofu ya Mungu tena. Nikaweka kando. Sikuogopa hata kufaaa Aaaaah...!... Nyota ya umaarufu ikafifia Ikafa ndoto ya kuwa star coz maombi yangu hayajibiwi Hata nifunge na kusali iiii Nikajiona natembea pekeangu Amenigeuzia shingoo. Oooh hata muumba wangu Nilikata tamaaaaa Nikajiona nipo kwenye msitu na sisikiii Hata sauti za watu Jitokeze tukuone, tukupe manung'uniko yetu Siogopi leo naihofia kesho yangu Mungu wangu ulie juu Badirisha maisha yangu, Nami nitembee nikilinga nikitamba. Nikiwa nnauhakikawa maisha yangu Mungu umekua msiri wangu Miaka nenda rudii Hata nikiwa uchi. Huchoki kunisitiri Kwani mimi ni nani unipe thamani ya juu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out