Lyrics

Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa Katika yote wewe bado Mungu Ninajua kushiba na kuona njaa Katika yote wewe bado Mungu Hata upepo nao uvume Mimi nitakuabudu wewe Chanzo cha uhai wangu nakuabudu Hata giza nalo litande Mimi nitakuabudu wewe Chanzo cha uhai wangu nakuabudu Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa Katika yote wewe bado Mungu Ninajua kushiba na kuona njaa Katika yote wewe bado Mungu Ninajua udhaifu na kuwa na afya Katika yote wewe Bado Mungu Hata upepo nao uvume Mimi nitakuabudu wewe Ooh Yesu Yesu Chanzo cha uhai wangu nakuabudu Hata giza nalo litande Mimi nitakuabudu wewe Chanzo cha uhai wangu nakuabudu Nakuabudu Nakuabudu Wewe ni chanzo cha uhai wangu Nakuabudu Nakuabudu Wewe ni chanzo cha uhai wangu Nakuinua Nakuinua Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out