Listen to Yote Yatajiri by Slimsal

Yote Yatajiri

Slimsal

Hip-Hop/Rap

241 Shazams

Lyrics

Unayoyatamani yote yatajiri... Ndoto za maninja ni kuja kutembea na all stars Wakati mtaani kuna sista ambaye ashatembea na all stars Oscar anamuota Wolper, Wolper anaiota Oscar Oscar haendani na Wolper, Na Wolper haendani na Oscar Wakikutana watakuwa dream team, So obvious wataendela kuota Sijui nani awaambie don't sleep wake up and focus We unataka kuwa aliko Dangote na Dangote nae anatakuwa aliko Dangote Awotee. We unataka kuwa aliko Dangote na Dangote nae anatakuwa aliko Dangote na istoshe. Unayoyatamani yote yatajiri, Ina mmoja lazma awe juu, mwengine chini Na aliyejuu (aliye juu) usimfuate juu (usimfuate juu) Sababu aliye juu (sababu aliye juu) ni Mungu tu (Mungu tu) Usipende sana kutolea macho kila kitu tu Sababu kuna vitu vingine ni vitunguu Unayoyatamani yote yatajiri (Go hard) Endelea endelea endelea (Kuota) Unayoyatamani yote yatajiri (Go hard) Endelea endelea endelea (Kuota) Unayoyatamani yote yatajiri (Go hard) Endelea endelea endelea (Kuota) Unayoyatamani yote yatajiri (Go hard) Endelea endelea endelea (Kuota) Whats my name, Whats my name (Slimsal) And what you want what you want (Go fast) Eheh hey Tunchy... wanataka niende faster Welcome to Blind Let's Go Mi siuzi sura wala sina sura mbaya Wala sinunui sura ya sista du au ya Malaya Hata kama visura wanauza sura bei mbaya, Sura zao zikiziona zetu zinaona haya Masudi sura mbaya mwenye pesa hana sura mbaya, Sura nzuri bila pesa hiyo sura mbaya Wataonuna wakiliona hili sura haya, Sura watazikunja mpaka zitagusa taya Suruali lenye pesa limetuna mbaya, Suruali bila pesa inanuka mbaya Kasuruali bila pesa kanavyokupwa, Ukiweka pesa ndani kanakuwa sawa Sisi sote tupo sawa, (sawa eeh), Ila hatuko sawasawa (sawa sawa eh) Sawa sawa na kusema sawa kumbe sio sawa, Sawa na kutaka usawa CCM na UKAWA Na mkawa mnabishana kwa vibanda vya kahawa, Kuhusu mimi, wewe, huyu, yule, wale, hawa Kama kawa kama dawa sumu na sumu ni dawa, Kama sumu sio dawa, dawa ya mbu sumu dawa Unamchukia Osamba, au unamchukia Obama, Unamjua Osama ndevu kuliko mambo aliyofanya Ukimjua kwa kirefu unaweza kuwa ka Obama, Utachana unavyocha hauwezi kuwa Cowbama Hujui ya kwamba mwanga ndo mwenye nguvu za giza, Na giza likishatanda ndo mwanga unaeza katiza Asubuhi mchana mwanga na kisha usiku ndo giza, Ka unataka kumuona mwanga subiria kiza (Blind) Ukawa unasema tuondoke haututaki, Mi nikawaambia washkaji zangu sisi em tubaki Unayoyatamani yote yatajiri (Go hard) Endelea endelea endelea (Kuota) Unayoyatamani yote yatajiri (Go hard) Endelea endelea endelea (Kuota) Unayoyatamani yote yatajiri (Go hard) Endelea endelea endelea (Kuota) Unayoyatamani yote yatajiri (Go hard) Endelea endelea endelea (Kuota)
Writer(s): Slimsal Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out