Lyrics

Ata mkinikata miguu bado ntatembea juu ya biti Atakama ikiwa sikukuu beki 3 hua hapumziki Atakama dem anchane vipi simsikii namsikiliza nicki Kapoteza hajielewi busy anatafuta kiki Daily natembea na sticki Acha nfanye leo leo cause kesho yenyewe haitabiriki Akishapita mwanangu basi tena haitamaniki Itakua gari lao vijana hawakamatiki Dili zote zinatick ka na mkataba na nike Kamwe siwezi acha mziki ata mkinfichia mic Hawajui story yako wala hawataki kuisikia Hawakujua kua me ni mbegu wakanifukia Nkipost navibe na ngoma zangu wanasema najiskia Siwezi lewa penzi atakama dem awe na mguu wa beer Simamisha chepe juu ya udongo nshafukia hisia Alikua na mvuto alinivuta mwisho nkamwachia Samahani ka uliumia Yea Nje huwezi ona ingia ndani uone mambo Kuna kula na kuliwa kua makini usiwe chambo Huwezi jua utamu wa kitu mpaka uonjeshwe sampo Huwezi ona uchafu nje msafi ndani Dampo Usiharakishe Usijifananishe Pesa zipo zitakwepo wala waskutishe We chekecha umiza kichwa fanya uskume mishe Amna namna mtoto kiume inabidi usababishe Nakua kipofu nkiwa kwenye hustle zangu sioni aibu Ata iweje siimbi afro acha ntoke taratibu Natamani kua diamond sijai waza kua chibu Ukiniuliza me ni nani Kuzza Trapper hio ndo jibu Bahat nzuri nshawafuta waliokua wananichora Sawa tupo rappers wengi ila skosi tatu bora Naenjoy kua bachelor sjui ka ntaoa Nina moyo mkubwa nabidi niwe mwangalifu nkiwa natoa Nje huwezi ona ingia ndani uone mambo Kuna kula na kuliwa kua makini usiwe chambo Huwezi jua utamu wa kitu mpaka uonjeshwe sampo Huwezi ona uchafu nje msafi ndani Dampo Ata mkinikata miguu bado ntatembea juu ya biti Atakama ikiwa sikukuu beki 3 hua hapumziki Atakama dem anchane vipi simsikii namsikiliza nicki Kapoteza hajielewi busy anatafuta kiki
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out