Listen to Chap! (feat. Flex Buddy) by Kuzza

Chap! (feat. Flex Buddy)

Kuzza

Hip-Hop/Rap

9 Shazams

Lyrics

Yea Kuzza Flex Yeaaaaayaaa (Spesso) Ukiwa vizuri watakupenda Ukiwa vibaya watakutenga Ndo maisha yanavyokwenda Pesa ndo the main Agenda Kila siku ya Kalenda Tunatafuta tender Haijalishi saa ngapi Wapi Ilimadi nalipwa guap Naenda chap Ukiwa vizuri watakupenda Ukiwa vibaya watakutenga Ndo maisha yanavyokwenda Pesa ndo the main Agenda Kila siku ya Kalenda Tunatafuta tender Haijalishi saa ngapi Wapi Ilimadi nalipwa guap Naenda chap Naenda Chap Nageuka Chap Chap Nishaingiza ma guap Chap Nishafika on top Chap They already want me to drop Siwezi kustop Siwezi kuflop Big Smoke always ready to pop Big Check always ready kushop Big Drip inabidi wadeki na mop Yeaaa Nawashika kidogo af nawaachia Wakianguka chini nawakanyagia Walinivimbia Nlikua naumia nllikua naumia Yea Wao wanatoka me ndo naingia Niseme ukweli niliwapania Walikua wanabana sa wameachia Sa wameachia Uhh Wameisha Ni zamu yangu sasa ya Kutisha Nishauamisha mpila wanangu wanao na wanasababisha Nahahakikisha namalizia chochote ambacho naanzisha Nshawaimbisha ngoma kibao hii nyingine spesso katisha Ukiwa vizuri watakupenda Ukiwa vibaya watakutenga Ndo maisha yanavyokwenda Pesa ndo the main Agenda Kila siku ya Kalenda Tunatafuta tender Haijalishi saa ngapi Wapi Ilimadi nalipwa guap Naenda chap Ukiwa vizuri watakupenda Ukiwa vibaya watakutenga Ndo maisha yanavyokwenda Pesa ndo the main Agenda Kila siku ya Kalenda Tunatafuta tender Haijalishi saa ngapi Wapi Ilimadi nalipwa guap Naenda Chap Yah Sijali ukinipenda Usiponipenda I just go for mine I just got online I just grrr bao paah Then im much fine Navunja ukuta Navunja ukimya Kama ukiwa barrier I break their spine So usije leta ushwine Bora ulete kush and wine Me ni divine Waking up early niende kwa job I dont wanna stay broke naitaji money Natoka nonstop watu wanaflop Imma get to the top hainaga utani Mama alishasema me ni star Na ndo maana Nlishaanza kuonekana tokeaga gizani Natembea toka natambaa Godamn Me ni alien so usije niulize me ni nani Mpila natuliza gambani Kila nikishoot kambani Kila nikishoot Watu wanakufa right on the spot Im done Kama hunipendi haki ya nani Usije niulize me ni nani Niko na ubani Pluto ni mazombie mashetani Chunga usije kupoteza imani Ukiwa vizuri watakupenda Ukiwa vibaya watakutenga Ndo maisha yanavyokwenda Pesa ndo the main Agenda Kila siku ya Kalenda Tunatafuta tender Haijalishi saa ngapi Wapi Ilimadi nalipwa guap Naenda chap Ukiwa vizuri watakupenda Ukiwa vibaya watakutenga Ndo maisha yanavyokwenda Pesa ndo the main Agenda Kila siku ya Kalenda Tunatafuta tender Haijalishi saa ngapi Wapi Ilimadi nalipwa guap Naenda chap
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out