Lyrics

26 Life Zombie again (It's S2kizzy beiby) 26 Life hatuboi Na ndo maana tukikutana nao mabishoo Madem zao hawachomoi Na tukikujua ni fake mikausho mikali ka toy Rest in peace Moi Bukuku, watoto wameacha rap siku hizi wanacheza viduku Labda zimekuwa chungu wanasign-iwa na chips kuku Vifua vikuu wanaenda gym kumbe mambo ipo huku Life imekuwa doja mpaka wanaume siku hizi wanajiunga vipowder Round hii ningeambiwa nichague kazi ningekuwa soldier Like pow pow naua mmoja mmoja Siku hizi hatunyi tunyi -- Coz home hakuna camp guess who is bartender Mwanangu Gigy mpe honey Vitu vimkolee atuonyeshe masebene Watoto wazuri siku hizi hatutaki talk talk, watoto mapene They call me cozy sela, flow zangu hela 26 juu bendera, na nikifa naomba nizikwe Kina na ukumbwera Eeh! Hili goma likipigwa wanangu mikono juu Eeh wanangu mikono juu Waambie wao chekechea sisi ndio chuo kikuu Eeh sisi ndio chuo kikuu Sasa! Naitangaza namba, 26 Wahuni namba 26 Hawajasikia namba 26 Wana waambie namba 26 Kuna siri hatuwezi share na dunia Ukipotea ukaonekana kuikosea ile njia Koge halina maana uliyemwotea ashaumia Usicholea uzama sahau spare tumia Wakiukatili kisiri mafia umeingia kwao Siri ya wawili moja afe ndo hubakia Kujiachia, unapozikamatia wapo nyuni unawasainia Kisha wa vyako uhuni wala kuwasikia Chachapa kwa mchawi chater ni chale Chachafya wala je safi tapa tap hapa na pale Papata maukali kabla ya utata pata chamale Na kabla hujamkata paka papasa papaka mkale Marapper wakalale, ukiacha mkipaka mtapata habari Ukinifuata fasta mtadata kwa sasa mkaka ni hatari Machacha wachachare, pacha waicatch washa asha nare Kuwachapa sijali, chapa tu rapper chachapa ilale Sitaki umbea signature skia mister holifield Nakemea masinema kwa mmea holy weed Weka weka baharia mori uzidi Sio mtu wa kucheka au kulia lia sorry is feed Liwazi mwenye njaa hana miko Hakuna msafi hata mnafiki anafaa wito Ikijaa punguza chamka cha maandiko Ukiona haki inakiukwa ujue sa ndo mabadiliko Hey! Hili goma likipigwa wanangu mikono juu Eeh wanangu mikono juu Waambie wao chekechea sisi ndio chuo kikuu Eeh sisi ndio chuo kikuu Sasa! Naitangaza namba, 26 Wahuni namba 26 Hawajasikia namba 26 Wana waambie namba 26
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out