Lyrics

Langu tope utelezi utaweza kuvumilia madhaifu yangu Na kwenye kope ni kweli utaweza kuvumilia Mbegu ya mnazi Usinipande jangwani hakuna maji wala mbolea Kuchipua kazi Kula yangu ya foleni mi piza baga sijazoea Naomba kwa Mollah Kila siku moyo wako usijejawa chuki Kovu la ufukala Umelifuta kabisa umeniepusha na dhiki Eeeh Mwenzako naogopa Mi naogopa Mwenzako naogopa Mi naogopa Mmmmh iyeiyeee iyee iyee iyee iyee Mmmmh iye iye iyeiye mmmh Ushajuwa madhaifu Basi usifanye fimbo yakunihukumu eeh Iwe chungu tangu kwa wenzangu Penzi lifike ukingo utaniumbua eeeh Na shilingi Ina pande mbili Bichwa na mwenge hilo kaa ukijua Na vyandani uvifanye siri Usije lopoka bure ukaniumbua Naomba kwa Mollah Kila siku moyo wako usijejawa chuki Kovu la ufukala Umelifuta kabisa umeniepusha na dhiki Eeeh Mwenzako naogopa Iyeiyeee naogopa naogopa mazonge siwezi Mi naogopa Eeeeh ukiniacha mwenzako watanicheka wale unajuwa weee Mwenzako naogopa Iyeiyeee naogopa naogopa mazonge siwezi Mi naogopa Ukinicha watanicheka vibaya uwouwouwooh
Writer(s): Suleyman Gao Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out