Music Video

Zuchu Ft Khadija Kopa - Mauzauza (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Khadija Kopa
Khadija Kopa
Vocals
Zuchu
Zuchu
Lead Vocals
Mocco Genius
Mocco Genius
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Zuchu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Mocco Genius
Producer

Lyrics

Shunuaa usijipe mapana Eti mwili kujitutumusha Nitakutawanya ka bahari na fimbo ya Musa Umejigeuza Sudi Sio wa Corora wala Vogi Na hilo wowowo la kufoji Eti linakupa kodii Ohh leo unikome mwenye kiranga (Mwenye kiranga) Hujanijua vizuri Hili timbwili la vanga (Mwenye kiranga) Ooh leo mbona umeyabananga (Mwenye kiranga) Mi maskini jeuri Sitegemei madanga (Mwenye kiranga) Mauzauza we mwana mauzauza Si wamekushindwa kwenu Walimwengu tutakufunza Mauzauza we mwana mauzauza Si wamekushidwa kwenu Walimwengu tutakufunza (Unaninii kichwa cha chikichi) (Umevaa kinu unatwangia mchi) Mwali kigego mwenye nyota ya mitaala Hivi kungwi wako nani wewe? (Atajijuaaa) Uso mitego imedoda biashara Hueleweki si kunguru si mwewe Wadala ubaki dala Mwenzio mimi kibunda Haufai kwa kafara Si mbuzi wewe ni punda Umejivisha ubazazi Kwa mapana na marefu Uso na kazi Si wa ndala wala peku Ooh ooh Ondo ondo mlezi wa wana We budege zoa zoa Mwali pengo binti mwanya Chuchunge kwa kudonyoa Ooh leo unikome mwenye kiranga (Mwenye kiranga) Hujanijua vizuri hili timbwili la vanga (Mwenye kiranga) Ohh leo mbona umeyabananga (Mwenye kiranga) Me maskini jeuri, sitegemei madanga (Mwenye kiranga) Mauzauza we mwana mauzauza Si wamekushindwa kwenu Walimwengu tutakufunza Mauzauza we mwana mauzauza Si wamekushidwa kwenu Walimwengu tutakufunza Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out