Lyrics

Yule mjjanja kama nakuja sikuji kubanja Niko ma pilka pilka Ganji na ganja, reason mkisii na move ka Karanja Niko ma pilka pilka Huku si huko, hapa lazima utachunga mifuko Tuko ma pilka pilka Huku si huko chunga vitu kuna vituko Tuko ma pilka pilka Wera na chapa na fujo Ndio nijibu kama ndoto ni valid Hustler moves ka Ruto Bado na songa bila serekali Heshima bei yake ni kali nini umefanya jina sijali Mafan kawaida mikono ni juu Nikama wako na maswali saa hii nakoroga kokoto Nyumba najenga ya kibazenga Hii ndaachia watoto, Ukilalisha utajipata msoto na viroboto Nikubahatisha uwezi kaa mbali na moto Na upate joto, aii Yule mjanja kama nakuja sikuji kubanja Niko ma pilka pilka Ganji na ganja, reason mkisii na move ka Karanja Niko ma pilka pilka Huku si huko, hapa lazima utachunga mifuko Tuko ma pilka pilka Huku si huko chunga vitu kuna vituko Tuko ma pilka pilka Nikiwa mpyenga teli ni black n white na channel ni kbc Saa hii mi ushinda teli day and night na si CCTV Nilikalesa mpaka CBD nikimove ma CD Saa hii ni mpesa ndio unifanya ni move, ama KCB Buda na trend, hashtag TTT Now you wanna be my friend Why pretend, kumbuka TBT Enzi za DVD, way back then Ulikua biggie G, mi nikitii bidii So my friend, anza na fifty Gs Thats for BGV's Yule mjanja kama nakuja sikuji kubanja Niko ma pilka pilka Ganji na ganja, reason mkisii na move ka Karanja Niko ma pilka pilka Huku si huko, hapa lazima utachunga mifuko Tuko ma pilka pilka Huku si huko chunga vitu kuna vituko Tuko ma pilka pilka
Writer(s): Louis Maina, Steph Kapela, Ivan Odie, Dj Prod Luigi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out