Lyrics

Hivi wewe ungewezaje Kuishi bila unayempenda Ama ingetokeaje Yote dunia kukutenda Kwa navyojua mimi Mapenzi ya mwisho matamu Hasa ukishapenda (Weeeloo) Mwenzi akakuchenga (Weeelooo) Zinahutumwa hisia Na mwili ukipata maradhiii Ukizinga kukimbiwa Utabeba silaha jambazi Kuna muda unaenjoy (Matamu) Kuna muda unalia (Machungu) Utayasifiaaaa (Matamu) Kesho yataki tena (Machungu) Kadata tatizo Mapenziiii Kawa mlevi kisa Mapenziiii Kafilisika eti Mapenziiii Wanagombana kisa Mapenziiii Kadata tatizo Mapenziiii Kawa mlevi kisa Mapenziiii Kafilisika eti Mapenziiii Wanagombana kisa Mapenziiii Mchezo gani huo Mwisho wa kumbu kuiwema Ata utende mazuri bure Utamu ukiisha mjini shule Sa itakuwaje na itakuwaje Nshakuwa teja na uwezidi Kidole ushapinga naye Mpaka mapepe unaibiwa Zinahutumwa hisia Na mwili ukipata maradhiii Ukizinga kukimbiwa (Utabeba silaha jambazi) Kuna muda unaenjoy (Matamu) Kuna muda unalia (Machungu) Utayasifiaaaa (Matamu) Kesho yataki tena (Machungu) Kadata tatizo Mapenziiii Kawa mlevi kisa Mapenziiii Kafilisika eti Mapenziiii Wanagombana kisa Mapenziiii Kadata tatizo Mapenziiii Kawa mlevi kisa Mapenziiii Kafilisika eti Mapenziiii Wanagombana kisa Mapenziiii
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out