Lyrics

Yote ninayoitaji ndani yako nitayapata Chini ya wema wako hunijibu kwa maombi Nafsi yangu yakuhitaji Bwana Kwa maombi ninakutafuta Usiende mbali na mimi Bwana Jifunue kwangu nakusihi Yote ninayoitaji ndani yako nitayapata Chini ya uwepo wako unajibu kwa maombi Yote ninayoitaji ndani yako ninatayapata Chini ya uwepo wako unajibu kwa maombi Nafsi yangu yakuhitaji Bwana Kwa maombi ninakutafuta Usiende mbali na mimi Bwana Jifunue kwangu nakusihi Nafsi yangu yakuhitaji Bwana Kwa maombi ninakutafuta Usiende mbali na mimi Bwana Jifunue kwangu nakusihi Ninaomba nione mkono wako Roho wakakae pamoja Ninaomba nione mkono wako Roho wako akae pamoja Ninaomba nione mkono wako Roho wako akae pamoja Ninaomba nione mkono wako Roho wako akae pamoja Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu Kwa neema yako badili historia yangu Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu Kwa neema yako badili historia yangu Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu Kwa neema yako badili historia yangu Yesu sikia maombi yangu Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi Yesu sikia maombi yangu Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi Yesu sikia maombi yangu Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi Ninaomba nione mkono wako Roho wako akae pamoja nami Ninaomba nione mkono wako Roho wako akae pamoja nami Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu Kwa neema yako badili historia yangu Yesu sikia maombi yangu Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi Ninaomba nione mkono wako Roho wako akae pamoja nami Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu Kwa neema yako badili historia yangu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out