Lyrics

SOFRESH is on the beat Eyo Jay run this My baby nielewe siwezi bila wewe My honey bado nakupenda Na siwezi kukosea Naomba wewe unisikilize Ningependa usichoke Niujana umenitega ahhh ahh Mpenzi nimekosea mama Warembo wamenikorogeanga Sikama nimezoea kuona ukilia najuta No! Juzi walinimwagia mtama Siamini ni nini nilichofanya Sikwamba nimezoea sipendi ukilia Nina kuomba msamaha Nina kuomba msamaha Nina kuomba msamaha Nina kuomba msamaha Nisamehe Mara ni ngapi umeamka umenikasirikia Mara hutaki tukiongea hutaki niridhia Umeniwacha ninajawa na simanzi Kurudia kosa we ndio kosa Ninapromise sitachovyia asali Niko radhi kujirekebisha Mpenzi nimekosea mama Warembo wamenikorogeanga Sikama nimezoea kuona ukilia najuta No! Juzi walinimwagia mtama Siamini ni nini nilichofanya Sikwamba nimezoea sipendi ukilia Nina kuomba msamaha Nina kuomba msamaha Nina kuomba msamaha Nina kuomba msamaha Nisamehe Sitarudia mama Sitarudia kukosa tena Nisamehe Sitarudia mama moyoni mwangu nimekuweka sana Nisamehe Sitarudia mama Wee ni wangu wa watoto mama Nisamehe ey ey ey ey ey ey Nisamehe ey ey ey ey ey ey Nisamehe ey ey ey ey ey ey Nisamehe
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out