Lyrics

Sofresh is on the beat Eyo Jay run this Milima na maponde yote yatapita yatapita yote yatapita Imani yako ndio nataka Nilisha kubali Kwako mi nakwama Baby kwako mi nakwama Imani yako ndio nataka Tusi tusi waskize Wana wanao tutisha Baby penzi let ndio dawa Tusi tusi waskize Wana wanao tutisha Baby penzi let ndio dawa Wangu ni wewe Wangu ni wewe Wangu ni wewe Ohhh wangu ni wewe Wangu ni wewe Wangu ni wewe Wangu ni wewe Ohhh wangu ni wewe Nikihesabu baraka zangu Nashukuru mungu kukuleta Nimekubali mbele zake mungu Wazazi na marafiki ooohhh ooohhhh Tusi tusi waskize Wana wanao tutisha Baby penzi letu ndilo dawa Tusi tusi waskize Wana wanao tutisha Baby penzi letu ndilo dawa Wangu ni wewe Wangu ni wewe Wangu ni wewe Ohhh wangu ni wewe Wangu ni wewe Wangu ni wewe Wangu ni wewe Ohhh wangu ni wewe Wakati ulifika ata hela wewe huna Rafiki walicheka,Ila aibu mimi sina Sikuchoka, Nilichagua wewe Basi nikubalie, nikuandalie Nikupakulie Tuwanyamazishe milele Wangu ni wewe Wangu ni wewe Ni wewe Wangu ni wewe Ohhh wangu ni wewe Wangu ni wewe Baby wangu ni wewe Wangu ni wewe Mimi na wewe Wangu ni wewe Milele na milele Wangu ni wewe Ohhh wangu ni wewe Wangu ni wewe,milele na milele Wangu ni wewe Nikuzungushie Nikupakulie Milele na milele
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out