Listen to Unanimaliza (feat. Lody Music) by Nandy

Unanimaliza (feat. Lody Music)

Nandy

Afro-Pop

5,214 Shazams

Lyrics

Kimambo,on the beat Hili huba,limenisafirisha mazima Kwenye dunia yangu mi na wewe Tuwe wote mi na wewe Halitofubaa,mbali si' tutafika lazima Na kwenye moyo wangu upo wewe Tuwe wote mi na wewe Yaani kichwani nakuwaza wewe Naona najiingiza mazima Nini umenipa wewe? Ona midadi inaniita Nina imani nikiwa na wewe Napona hata bila kupima Nini umenipa wewe? Ona midadi inaniita Na nilivodidimia,unachuchumia Penzi lako nipe we Vile unang'ang'ania,mi napenda pia Unafanya nilewe Unanimaliza Unanimaliza Unanimaliza Unanimaliza Aahhh Lody Music on this one Ninapumilia mipira Nitapokukosa nitashindwa hata kufikiri Nakuwaza we,unaniwaza mi Penzi linapata mavuno Unavonipenda mpaka raha Mi natoa posa siwezi kufanya siri Nataka kuwa na we,unataka kuwa na mi Wanga wanawashwa mikuno Yaani mpaka raha Napendwa-nalishwa-naogeshwa-navishwa nguo yaani mpaka nampenda Na-ninavoaminishwa-kabisa-kwamba-chaguo lake kabisa kanipenda Napendwa-nalishwa-naogeshwa-navishwa nguo yaani mpaka nampenda Na-ninavoaminishwa-kabisa-kwamba-chaguo lake kabisa kanipenda Unanimaliza Unanimaliza Unanimaliza Unanimaliza
Writer(s): Writer Unknown, Faustina Mfinanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out