Listen to Mikogo Sio (feat. Dogo Janja) by Jay Melody

Mikogo Sio (feat. Dogo Janja)

Jay Melody

Afro-Pop

17,850 Shazams

Lyrics

Eeh eeeh aaah aaah oooh ooh (Charles Clinton) mmh hmmm wakati we ukiwa na Mimi unajishaua Mashauz mengi kujishebedua Najiulizaga kwanini unasasambua Kwa marafikiii aaibuu Basi nambie wewee kama unataka jina Kwajili yako unafanya mwenzako nikose heshima vipi Nikueleweje au bado unapima maji ya shingo utaniua mamaa umezidi kina Unataka kiki sio (aaa eeh) Io mikogo sio (aaah eeh) Utakuja kunifelisha mwenzako (samahani) Badman yoooh Niliamini unanifaa We ndo mamaa Asaa iweje unapagawa na ustaa Zuku bambataaa bolingo chalangaa Nilizicheza kwenye Giza kwenye taa Ujue mi bila we nafeli Ona nakonda kideli (oooh kideli mama) Na mambo unayofanyaga ndo yanafanya nipagawee Ujue mi najuaga kwako Niko mwenyewe na kumbe mazigizaga Maporomoko ya mawee Unavonifanyiaga ndo balaa Basi nambie wewee kama unataka jina Kwa jili ako unafanya mwenzako nikose heshima Vipi nikueleweje au bado unapima Maji ya shingo utaniua mama Umezidi kina Unataka kiki sio (aaah eeh) Io mikogo sio (aaah eeh) Utakuja kunifelisha mwenzako (Samahani)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out