Lyrics

Jimmy x double six baby Mmmm nah nah Si unitoke hata mara moja Akilini mwangu oh mara moja Ninayopitia ni kama umeniroga Haya mapenzi yaamenipa gonjwa Japo sijawai kukwambia Jinsi ninavyo kuota Nakuzimia moyo umeukota Hii dunia nimempenda mmoja Hizi hisia nitakwambia how i feel Para ra ra raaaahh How I feel Para ra ra raaaahh Nitasema me Para ra ra raaaahh How I feel Para ra ra raaaahh Nitasema me Ooh Na vitu vyako vinachanganya oh Unugusapo kwisha mwenzio oh Your magnet oh, unanivuta hapo Utanitoa roho, jamani Unanikosha, unaniwasha, unalia paah moyo wangu Unanikosha, unaniwasha, unalia paah mmmh Japo sijawai kukwambia Jinsi ninavyo kuota Nakuzimia moyo umeukota Hii dunia nimempenda mmoja Hizi hisia nitakwambia how i feel Para ra ra raaaahh How I feel Para ra ra raaaahh Nitasema me Para ra ra raaaahh How I feel Para ra ra raaaahh Nitasema me Unanikosha, unaniwasha, unalia paah moyo wangu Unanikosha, unaniwasha, unalia paah
Writer(s): Sharif Sharif Said Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out