Lyrics

Maisha bila yesu kitendawili nitawezanaje Ilhali nimezungukwa na pingamizi kilamahali Nikiwa nawe ni sure bet, Weh ni kinga siwezi fret, Nikiwa na yesu ndani, Anatembea nami Nikiwa Hapo uweponi mwako nakufa ganzi Kwa nyumba yako heri nikuwe kijakazi Kama itanilazimu nichunge lango Mimi bora niwe hapo, Uweponi mwako me nimekamilika Nitateveva bila wehhh, Wema wako Usiniwache kila day,nitembee na we... we... we Nitateveva bila wehhh, Wema wako Usiniwache kila day,nitembee na we... we... we Nikiwa solo sitoboi, naisema wazi Bila weh hata na masilver na ugoro bado niko empty Na kama baridi ya Tigoni, Haimalizwi na kikoi Hivo ndivo me huwanga bila wewe, me hubaki hoi Ndio maana utanipata uweponi mwako nikimiminika Vile ulipendaga mtu kama mimi manze hunitisha Macho yako yako kote mimi wapi ningejificha Napiga hesabu yangu bila wewe haiwezi jipaa... ehhhhh Nitateveva bila wehhh, Wema wako Usiniwache kila day,nitembee na we... we... we Nitateveva bila wehhh, Wema wako Usiniwache kila day,nitembee na we... we... we Nitateveva bila wehhh, Wema wako Usiniwache kila day,nitembee na we... we... we Nitateveva bila wehhh, Wema wako Usiniwache kila day,nitembee na we... we... we
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out