Lyrics

Kapipooo No no nooo! Am doing this kwa sababu we're lost Nimejaribu jaribu fosi fosi ukae kwenye box Gosh! I'll tell what hurts me the most Navyojitoa kwakila kitu na bado haitoshi Tulikuwa tunapendana sana Now what's this Nimevaa pingu za maisha ama ni pingu za polisi? Zamani love daily tunatumiana makiss Cuz no peace call chati zetu madiss At the end of the day I undersatnd this life Mwingine anakuenject huyo mwengine hataki wife Kuna hukungu umeingia ndani hatuonani Mwenzangu hata kumbukumbu huna kwako mie nani Kuimba nisha imba nyimbo zote husikii hushiki kitu Uvumilivu n'nao sana ndani ukiweka kando wivu Inatiauvivu kupanda furaha kuvuna maumivu Bora niokowe hata mwili moyo ushakuaga majivu Ooh! Tuishie hapa Tuishie hapa aah Tuishie hapa Mbona hauna nianzuri na mimi yo yo yo Ooh! Tuishie hapa, mhhh Tuishie hapa aah Tuishie hapa Mana mwanzo baya, hutokua na mwisho mzuri na mimi Oh yeeah yeah yeah mh mhhh hmm Moyo wangu chonde chonde Mi' nakupa we unauchezea unauchezea Nafsi yangu kinyonge Sura imebeba fedhea Naona fedhea aah Kwa haya machache tu Niupendo wangu ndo unaniponza Aah bora niache tu nikatafute dawa ya kujipoza Sikutaka nikukose, hata iwe kwa bahati mbaya Wakati wako we kutambaa aaah Imefikia tamati roho inauma Umeniumiza nafsi raha sina Me ndo nakugasi muda hauna Mwisho mtapotea miyee Tuishie hapa Tuishie hapa aah Tuishie hapa Mbona hauna nianzuri na mimi yo yo yo Ooh! Tuishie hapa, mhhh Tuishie hapa aah Tuishie hapa Mana mwanzo baya hutokua na mwisho mzuri na mimi CLASSIC MUSIC
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out