Lyrics

Classic Music Sound by Abbah... Eeh nikupe mgongo upande Ujigambegambe ndiyo ni gande gande N'na mapenzi kabambe Monday to Sunday ujiramberambe N'nafight niku'eke ndani wacha niwambewambe kajichangechange Na wakileta wapambe wasikuzongezonge wakatie mapande Mwenzako nakupenda nakununu Sogea nikupambe sogea nikubusu Nakupenda nakununu Sogea nikupambe sogea nikubusu Kama mtu anakimbia ndani tih tih That sound of my heart Sina A wala B C D gari n'shaiweka park Natumia bodaboda yangu siti moja staki haipakii mishikak Sina root za wapi temeke ilala mbezi alafu ilale masaki Kwanza mwachie nafasi ajiachie mwagie mass Sijui hata nianzie wapi kwa juu kwa chini ok nitaanzia kati Avae kishati cha pasi apanie kiasi au avunje kabati Na mkia wa samaki akitembea mwendo utasema hautaki Aise uuu'pewe nini nakuambia mguu wa kukanyagia peponi mydear Aisee uuu kama nan'pania na ninamia nambambia bambia Nampinda namdandia dandia namlinda na washenzi wa tabia Mpenzi wako umemshika mkononi watakuibia Wangu nimemtulizaga moyoni katulia Mwenzako nakupenda nakununu Sogea nikupambe sogea nikubusu Nakupenda nakununu Sogea nikupambe sogea nikubusu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out