Lyrics

Uwa, uwa, uwa Uwa, uwa, uwa Uwa, uwa, uwa moyo wangu mama Weka debe la karanga na mihogo mibichi mama wewe Kisha unipame Honda naja kupiga kiki mama we Nidondoshe na mbata, na pweza wake mchuzi mama we Tupate toto fulani, liwe fiti kali fiti mama we Mama nichumu mama (mama, oh, mama, oh) Waachie walobana (mama, oh, mama, oh) Hao chanya, sisi chanya (mama, oh, mama, oh) Hatuwezi kukutana, mpaka milele Kitandani usishuke zima taa mwaya Wakikupandisha washushe wasio na haya Na wala usisumbuke kuwajibu vibaya, ah Usiamini mwanamke waubuni wewe fire Wamezaliwa kutusema sisi Achana nao, hao Ibada yao kutusema sisi Wasikuchanganye hao Tuli-tulizana, kwa marefu na mapana Sisi twasimama watabaki kuchutama Tuli-tulizana, kwa marefu na mapana Sisi twasimama watabaki kuchutama
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out