Lyrics

Mesen na ya moto Mesen na ya moto Mesen na ya moto Mesen na ya moto Mesen na ya moto Mesen na ya moto Mesen na ya moto Mesen na ya moto Nilisema unipigie unipigie kabla ujatoka Unipitie (unipitie) mwenzako nimechacha Iweje unizimie (unizimie)na simu ukasepa Unikimbieee! Nimekuja na miguu kufata burudani! Oooooooh! Na nimepata tabuuuu hadi kuingia ndani aibuuu!!! Aiyaaaaa!! Nyamukila dibwee Nyamukila dibwee Nyamukila dibwee Ah ah ee ae Nyamukila dibwee Nyamukila dibwee Nyamukila dibwee Ingia kati uonyeshe ndani nimeingia! We mama zungushaa Kakupa God kiuno Kakupa God kiuno Kakupa God kiuno We dada zungusha Kakupa God kiuno Kakupa God kiuno Kakupa God kiuno Aleeeh cheza kwa madoido kwa manjonjo Aleeeh cheza kwa madoido kwa manjonjo (Sema) Cheza kwa madoido kwa manjonjo Aleeeeh! Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo Wajawazito ni ruksa ndani kujifungua ehh! Madaktari ni wengi sana wanasakata bazugi! Aliye kuja na guta nje aje kulitoa ehhh Maana kupaki vibaya watu wanataka nafasiii!!! Masai na mamaaa (Yoyooo) Marungu na simeee No no nooo! Msije gombana (ukoo) Mkatoa watu shingo! Ahhh! We chaiba ebu wacha magongo Ukija zama nayo mi nitakupa kipondo. Na we panya uwachage kuruka ukuta nikiibadilika Nakua na hasira za pacha Zamani babu kanifunza kucheza Ishara ya kufurahi Huna sababu ya kununa wakati ngoma ing'ai ing'ai We muharabu sijui mchina pandisha mori kama masai... Zungusha bodi uwaoneshe jinsi gani waweza kujidai. We furahi jidai Na cheza kwa mbwembwe Usione hatari kufurahi Hata kama Kikongwe! Uko mali we karibia Yamoto tuku konge Wote shida zetu ziko nyumbani Hapa turuke ili song Alleeeh! Cheza kwa madoido kwa manjonjo Alleeeh! Cheza kwa madoido kwa manjonjo (Sema) Cheza kwa madoido kwa manjonjo Aleeeh! Cheza kwa madoido kwa madoido na manjonjo... Aleeeh! Cheza kwa madoido kwa madoido na manjonjo... Aleeeh! Cheza kwa madoido kwa madoido na manjonjo... (Sema) Cheza kwa madoido kwa manjonjo Aleeh! Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo... Mensen na ya moto Cheza kwa madoido kwa manjonjo Aleeh! Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo... Cheza kwa madoido kwa manjonjo Sema Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out