Lyrics

Yamoto, yamoto band (uh yeah yeah yeah) Yamoto, yamoto band Ah mkubwa na wanawe Yamoto, yamoto band (oh) Yamoto, yamoto band, yamoto band Kazini niende nirudi na sembe robo Nachotaka unipende nipunguze wenge jogoo Waepuke wapambe wasilete mbwembwe mgongo Kwa maneno ya wembe wakate na ngede fujo (ooh) Moyo wa chuma sina, usije nipata tabu Ongeza penzi kwa kina, jumuisha na wivu Moyo wa chuma sina, usije nipata tabu Ongeza penzi kwa kina, jumuisha na wivu Achana nao wanaopiga majungu (ah ah) Skeno mpya mi natoka na mzungu (ah ah) Nipende mimi wengine kwako wachunge (ah ah) Tumetoka mbali, ugali na karusungu Nasema nipe mene, nipe leme, nachotaka yetu siyasonge Tuwaache wapige kelele ai nabado sio yaende Nipe mene, nipe leme, nachotaka yetu siyasonge Tuwaache wapige kelele ai nabado sio yaende Nitajuta ukiondoka, nitajuta Ongeza sila baba na mama wakupende Nitajuta ukiondoka, nitajuta Alafu mimi na wewe wengine wakwende Usijibanebane we (oh ah) Usijibanebane we Usijibanebane we Nakupa chanci mama kunipelema Usijibanebane we Usijibanebane we Usijibanebane we Chochote fanya mama mi nishapenda Mtu kunywa kunywa milenda sio ufala ila kupenda Nzi kufa kwenye kidonda sio ufala ila kupenda Mtu kunywa kunywa milenda sio ufala ila kupenda Nzi kufa kwenye kidonda sio ufala ila kupenda Kaa mbali nami (nimeshapenda) Kaa mbali nami (nimeshapenda) Kaa mbali nami (kama kibaka kuomba lifti kwenye defender) Kaa mbali nami (nimeshakufa) Kaa mbali nami (nimeshaoza) Kaa mbali nami (kama kibaka kuomba lifti kwenye defender) Baby, baby nakupenda sana Nishike nikushike milele tusije kuwachana Baby, baby nakupenda sana Nishike nikushike milele tusije kuwachana Baki na mimi Wengine wani mimi Naogopa maradhi ndio maana niko makini mimi (Ii-ii) Nitajuta ukiondoka, nitajuta Ongeza sila baba na mama wakupende Nitajuta ukiondoka, nitajuta Alafu mimi na wewe wengine wakwende Usijibanebane we (oh ah) Usijibanebane we Usijibanebane we Nakupa chanci mama kunipelema Usijibanebane we Usijibanebane we Usijibanebane we Chochote fanya mama mi nishapenda How come vimezaliwa vingi vya utamu (Tika, tika, tika tika, tika tika, tika, tika) How come vimezaliwa vingi vya utamu (mkubwa na wanawe) How come vimezaliwa vingi vya utamu (mkubwa na wanawe) How come vimezaliwa vingi vya utamu (Tika tika, tika tika, tika, tika, tika, tika) How come vimezaliwa vingi vya utamu How come vimezaliwa vingi vya utamu How come vimezaliwa vingi vya utamu How come vimezaliwa vingi vya utamu How come vimezaliwa vingi vya utamu How come vimezaliwa vingi vya utamu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out