Lyrics

Muanzaji wa Nzega Sema Makambo Issa Ukizaliwa mwanaume, eh ujue kila kitu kwako kitakua ni tabu Ukizaliwa mwanaume, eh ujue kila kitu kwako kitakua ni tabu Wazazi wangu wamezeeka, macho yao ni kwangu Familia yangu nyumbani, macho yao ni kwangu (Shabani Madhala) Wazazi wangu wamezeeka, macho yao ni kwangu Familia yangu nyumbani, macho yao ni kwangu Ndio maana nilipopatwa na maradhi mie Nililia lia, ooh Ndio maana nilipopatwa na ajali Nilijua familia yangu itaathirika, yelelee Wazazi wangu wamezeeka, macho yao ni kwangu Familia yangu nyumbani, macho yao ni kwangu Ndio maana nilipopatwa na maradhi mie (usilie Jumbe) Nililia lia, ooh Ndio maana nilipopatwa na ajali Nilijua familia yangu itaathirika, yelelee Wazazi wangu wamezeeka, macho yao ni kwangu (Meddie, eh) Familia yangu nyumbani, macho yao ni kwangu (Doc Chen, wapi Roggers?, Tx-Mosha Shabai, dah, acha kulia) Ukizaliwa mwanaume, (aah) we ujue (we ujue) Kila kitu kwako kitakua ni tabu (Aya!) ukizaliwa mwanaume, (aah) we ujue (we ujue) Kila kitu kwako kitakua ni tabu Wanaume tumeubwa (aya!) mateso, mateso Kuangaika Nilipopatwa na ajali, nililia sana Majaliwa nisaidie Wanaume tumeubwa (Waziri Bewa) mateso, mateso Kuangaika Nilipopatwa na ajali, nililia sana Mtumwena nisaidie, eeh Wanaume tumeubwa, mateso, mateso kuangaika Mwanamume unapopatwa na matatizo, macho hua mekundu Kwa uchungu, lakini katukatu usikate tamaa Wanaume tumeubwa (Mustafa Nanga) mateso, mateso Kuangaika Mwanamume unapopatwa na matatizo, macho hua mekundu Kwa hasira, lakini katukatu usikate tamaa Wanaume tumeubwa (tumeubwa) mateso, mateso Kuangaika Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga Kwanza omba Mungu, akusaidie Wanaume tumeubwa (Nasibu) mateso, mateso Kuangaika Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga Kwanza omba Mungu, akusaidie Wanaume tumeubwa (Mwanagu, eeh) mateso, mateso Kuangaika Baba wa familia ni nguzo ya nyumba (Jumbe sikia) Nguzo imetetereka, nyumba inayumba Ninateseka hadharani, anaumia Moshi kwa mawazo Ninateseka hadharani, naumia Jumbe na mawazo Sijui watoto wangu, watakula nini? Wanaume tumeubwa mateso, mateso kuangaika Baba wa familia ni nguzo ya nyumba Nguzo imetetereka, nyumba inayumba (usilie) Ninateseka hadharani, anaumia Moshi kwa mawazo Ninateseka hadharani, naumia Jumbe na mawazo Sijui watoto wangu, watasoma vipi? Wanaume tumeubwa (iyee!) mateso, mateso Kuangaika Obligado Mkemia, mkemia Dokta Kesi Uwii! Double D, Jumbe Ali Rashid Ali Rashid, mikate ya Zanzibar Ami, msalimie anko salehe Mwenda wa Barbee unasikia? Mabe, Mabe, Mabe, Mabela Mabe, Mabe, Mabe, Mabela Mabe, Mabe, Mabe, Mabela Aah, Salehe Abood Bus Mbeya Asante sana kwa msaada wako, eeh Abood Bus inakatia Mbeya Salehe mzee wa udi, sikia kichwa chenu Oh, Doc Cheni, nikatie Kigoma Uwii! Mabe, Mabe, Mabe, Mabela Mabe, Mabe, Mabe, Mabela Mabe, Mabe, Mabe, Mabela Mzuzuri Ali Mkomoja Uwii! Gero mwana wa Mn'gande Wanaume tumeumbwa, mateso, mateso kuangaika
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out