Lyrics

Asala baba yule Sadiki baba yule Shukuru baba yule Babah Baba Ale baba huyo Katoka kazini zawadi mkononi Kaleta na ungo 2x Tusipate taabu ya kupeta mchele Ale baba umerudi Nipe soda nikaringishe UKO NJE Amina, Sarai walilie na mimi niringe nitambe Ila baba mama na mjomba jitu wamepiga Wamemwaga maji kitandani mwako na shuka wamechana Ila baba mama na mjomba jitu wamepiga Wamemwaga maji kitandani mwako na shuka wamechana Nililia sanaaaaahhahh Daddy kwany Shabani mwanao alaliaga kifua cha mama Kwani na yule mwanao Acha anko Mangi yule banda la video Anapendaga kujaga usiku Kwani yule ni ndugu huyo Tena daddy ukitoka na Mangi anaingia Ananiletea bazoka na pesa yakutumia Ila Shabani simpendi Apendi kunipa hela Kazi kumpiga mama na pesa anachukua Wanakaa sirisiri(wakionana) Kwenye mabano(wanachofanya) Ata nipiga(nikikwambia) Alisha semaaaa Wanakaa sirisiri(wakionana) Kwenye mabano(wanachofanya) Ata nipiga(nikikwambia) Alisha sema mama Niseme nisiseme(sema) Ohh niseme ohh(sema) Niseme nisiseme(sema) Aaah niseme ohh(sema) Niseme nisiseme(sema) Ohh niseme ohh(sema) Niseme nisiseme(sema) Aaah niseme ohh(sema) Eshima kwako baba Vipi maputo na pipi Umeniletea duku la mikaba Unapo toka ridhiki Kututafutia ohh baba ohh Unapo kwenda kazini Huja mgeni(fupi kimo) Ana mandevu ka Osama Sijui nani(ila bishoo) Anakujaga nyumbani kufata nini(kambilikimo) Mama kaniambia nimwite anko Johni Uuuhh uh yeye uh yeye ahhn Mbona leo Baba uko Mama uko Mi nataka niongee Kuna jambo lani tatizaga panyuma ukiondoka babae Uuuhh uh yeye uh yeye ahhn Mbona leo Baba uko Mama uko Mi nataka niongee Kuna jambo lani tatizaga panyuma ukiondoka babae Mwenzako mama ananitumaga chakula nipeleke gengeni Pale kwa mzee kutafuna Hapakati sijui kuna jambo gani Sikunyingine natumwaga lazaga Kama nyanya na vitungu Sikunyine ni pesa napewaga Nipeleke kwa mama Sikunyingine napewaga lazaga Kama nyanya na vitungu Sikunyine ni pesa napewaga Nipeleke kwa mama Ieh iehh aaahh Niseme nisiseme(sema) Ohh niseme ohh(sema) Niseme nisiseme(sema) Aaah niseme ohh(sema) Niseme nisiseme(sema) Niseme ohhh(sema) Niseme nisiseme(sema) Aaah niseme ohh(sema)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out