Lyrics

Wenye machungu na mabaya sio kwenu tu, ata kwetu wapo Wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu, hata kwetu wapo Ukichukia sishangai, peace and love Mi najua binadamu ndivyo tulivyo Ukichukia sishangai, peace and love Mi najua binadamu ndivyo tulivyo Kiuwezo sifanani nao ingawa wamenizidi age, wanadisi Wanadaki nachonifanya niringe ni hiki kipaji, cha muziki Kiuwezo sifanani nao ingawa wamenizidi age, wanadisi Wanadai kinachonifanya niringe ni hiki kipaji, cha muziki Wamesahau kama aliye juu mola ndiye mpaji mgawa riziki Kuna wengine wanaotamani wawe kama mimi kwenye muziki Ila mimi bado najua, wengi kwangu watasubiri Ila mimi bado najua, wengi kwangu watasubiri Ukichukia sishangai mi najua binadamu ndivyo tulivyo Ukichukia sishangai mimi mi najua binadamu ndivyo tulivyo Wenye machungu na mabaya sio kwenu tu, ata kwetu wapo Wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu, hata kwetu wapo Ukinichukia sishangai peace and love, mina jua binadamu ndivyo tulivyo Ukinichukia sishangai peace and love, mina jua binadamu ndivyo tulivyo Kila siku mambo mengi yanatokea Ni ukweli sio kwamba nakuongopea Binadamu ni wengi na wachache ndo wema Amini navyokwambia Kila siku mambo mengi yanatokea Kwa kweli ukweli sio kwamba nakuongopea Binadamu ni wengi na wachache ndo wema Amini navyokwambia Unaweza kutenda kitu bora kizuri Wengine wakapenda wengine wakakera Imani inaponza watu wengine si wazuri Hata ukitenda jema Unaweza kutenda kitu bora kizuri Wengine wakapenda wengine wakakera Imani inaponza watu wengine si wazuri Hata ukitenda jema Ila mimi bado najua Wengi kwangu watasubiri Ila mimi bado najua Wengi kwangu watasubiri Uki nichukia sishangai, mi najua binadamu ndivyo tulivyo Uki nichukia sishangai mimi, mi najua binadamu ndivyo tulivyo Wenye machungu na mabaya sio kwenu tu, ata kwetu wapo Wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu, hata kwetu wapo Ukichukia sishangai, peace and love Mi najua binadamu ndivyo tulivyo Ukichukia sishangai, peace and love Mi najua binadamu ndivyo tulivyo Weupe, weusi (wapo) Warefu, wafupi (ona) Weupe, weusi (wapo) Warefu, wafupi (ona) Unakula nao, unalala nao, hapo hata hapo ulipo wapo Unakula nao, unalala nao, hapo hata hapo ulipo wapo Wamevaa ngozi ya kondoo kumbe chui Wanajifanya marafiki kumbe maadui Wamevaa ngozi ya kondoo kumbe chui Wanajifanya marafiki kumbe maadui Eeh cheza nao mbali E-e-e-eh cheza nao mbali Eeh cheza nao mbali, mbalii mbalii eh Wenye machungu na mabaya sio kwenu tu, ata kwetu wapo Wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu, hata kwetu wapo Ukichukia sishangai peace and love Mi najua binadamu ndivyo tulivyo Ukichukia sishangai peace and love Mi najua binadamu ndivyo tulivyo Dedicace
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out