Lyrics

The baddest Macho yangu hayana pazia Yamekuona wewe,mchumba wewe Moyo wangu ushakuzimia,nakupenda wewe,mpenzi wewe Nasiunajua baby tukifani peponi Mabaya siyaoni we hauna dhambi ye Kama ukiniacha mwenzako bila wewe Imani itanitoka siunajua nakutiii Naapa kwa shida na raha mina wewe Naapa kwa shida na raha milele Basi tuyafanye marudio mèche langu tulio ah Nipe lako sikio ah Nakupenda jamani Nasiunajua moyo wangu haukuwa haikuguza kidonda Ikitokea raha nitakuomba mi mwenzako nakupenda penda Au labda mali zangu nikupe moyo wako kila kitu napenda Moyo wako mimi napenda Niko tayari nitatenda tendaaaa Nasiunajua baby tukifani peponi Mabaya siyaoni we hauna dhambi ye Kama ukiniacha mwenzako bila wewe Imani itanitoka siunajua nakutiii Naapa kwa shida na raha mi na wewe Naapa kwa shida na raha milele Naapa kwa shida mi na wewe Naapa kwa shida milele
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out