Lyrics

Umenipa uhai baba nafasinyingine ya siku mpya. Baaaabaaaa, Nashukuruuu. Umeniponya roho na mwili tabibu wa ajabu wewe yesu. Babaaaaa, Nashukuruu Umeondoa laana kabadilisha kuwa baraka. Baba, Nashukuru. Kilio changu ewe yesu kabadilisha kuwa furaha. Baba, nashukuru. Kwa moyo wangu wote. Nasema asante kwako Messiah Nashukuru Nilipokuwa mnyonge baba umekua nguvu yangu. Babaa, Nashukuru Nayo mishale ya yule mwovu hayajanipata umenilinda Babaaa, Nashukuru Umeniongoza mwokozi wangu kanisimamisha imara. Babaaaa, Nashukuru Umenitoa kwenye shimo la giza kaniweka kwenye mwanga. Babaaa, Nashukuru. Kwa moyo wangu wote. Nasema asante kwako Messiah Nashukuru Yale yote umetenda ni mingi mno na ya ajabu. Sijuie nisemeje. Messiah Nashukuruuu.
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out