Lyrics

(Vizazi hadi Vizazi, Vya kufahamu wewe Uliye mungu wa kale na uliye mungu wa leo Kazi zako zaonyesha ukuu wako wewe Umetukuka umeinuliwa ewe bwana)x2 Kweli wewe wewe ni mungu Kweli wewe wastahili Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi Umejivika utukufu, wewe ni mungu (Nikitazama matendo yako na nguvu zako wewe Yadhihirika machoni mwangu wengine wote ni miungu Uumbaji wako waonyesha hekima yako wewe Watukuzwa kati ya mataifa milele bwana) x2 Kweli wewe wewe ni mungu Kweli wewe wastahili Umeketi juusana kwenye kiti cha enzi Umejivika utukufu, wewe ni mungu (Sifa zako zi kinywani mwangu Kwa jinsi ulivyo wewe Kwa kusanyiko la watu wako, nikuinue mungu wangu Nionyeshe heshima zako, Malangoni mwako wewe Nakutukuza nakuinua ewe bwana)x2 Kweli wewe wewe ni mungu Kweli wewe wastahili Umeketi juusana kwenye kiti cha enzi Umejivika utukufu, wewe ni mungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out