Lyrics

Nachotaka niwe niwewe tu Nachotaka niwe niwewe tu Haja ya moyo wangu Yesu uu Haja ya moyo wangu Yesu uuh Kama ayala atafutavyo maji Zaidi ya udongo mkavu Uonavyo kiu kwa tone la maji Ilivyo nafsi yangu isiposema nawe Ulivyo moyo wangu nisiposhiriki nawe Kama samaki nje ya bahari Sina uhai nje ya hema yako Nataka nizame nizame Nizame kwa pendo lako kuu Nataka nizame nizame Nizame kwa pendo lako lako Nakuhitaji Yesu eeh Nachotaka niwe niwewe tu Nachotaka niwe niwewe tu Haja ya moyo wangu Yesu uu Haja ya moyo wangu Yesu uuh Nataka nikujue zaidi ya fahamu zangu Naona nikuinue zaidi ya hitaji langu Niloweshe kwa roho nikujue Sura ung'ae usoni mwangu Nataka nikutumikie kwa nguvu mpya aah Kisichowezekana niwezeshee eeh Ninapopungukiwa nineemeshe Nakuhitaji Yesu uoo-ooh Nachotaka niwe niwewe tu Nachotaka niwe niwewe tu Haja ya moyo wangu Yesu uu Haja ya moyo wangu Yesu uuh Nachotaka niwe niwewe tu Nachotaka niwe niwewe tu Haja ya moyo wangu Yesu uu Haja ya moyo wangu Yesu uuh
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out