Lyrics

Lord, lord forgive me for my sins, sins She said, lord see i'm on my knees, knees yeah She said, lord forgive me for my sins, (forgive me forgive me) Lord, see i'm on my knees, knees (forgive me forgive me) Alikua anadate na mwana anachana Kila weekend anaruka na wana Ukitaka namba anakupa wasichana Leo anatubu ashaishi maisha ya laana Kaskia kuna mwana anamsalandia Kashalipa watu chupa kama tatu za bia, Insta anachukiwa na madada ka mia, Akavuta pumzi kamfata kamwambia Unajua nini kuhusu mimi Maisha yangu yanakuchoma na nini Nimepiga goti sikuaga makini Nimekata kauli nakoma ulimi Mungu baba nisamehe, we ndo baba nsipotee You know i'm your biggest fan Send them blessings in my way Naongelea baraka baraka (blessings), Suti sio malapa malapa (stressing) Family talaka talaka no, simwagi mchele, Mubaraka (no) Si tunarusha ile karata, tunabadilisha character Sio tunapalasa palasa, chuki ni garasha isije nikamata woh Lord, lord forgive me for my sins, sins She said, lord see i'm on my knees, knees yeah She said, lord forgive me for my sins, (forgive me forgive me) Lord, see i'm on my knees, knees (forgive me forgive me) Mama told me usicheze na kitu kinaitwa wakati Wakati wa kusoma niliuchezea na nikawa na haraka ya kupata chapati Wakati unatoa mimba kumbuka kuwa kuna wenzako hawapati Wakati wa kujenga maisha mi nilijenga kiki Kisa kwetu shida nikaacha shule ili nifanye mziki Saivi ninabaki najiangalia Nilivyopata huo ustar nikaanza na tabia za kuwavimbia Nikipita club bebe zote kali kali nazipa offer ya bia Kula nyama kula Henny kula bata wwambie mimi ndo nalipia Waambie mnyama mkali ndo anayelipia Bebe zote kali nikawa nachapa Pesa mingi kama mwanangu Capo Maisha ujana bwana sijawahi kua na couple Nikiona bebe kali Masha, nakaa hapo Naishi kwa kuungaunga mi sio mwenzako Nikishapata nyagi naigonga t*ko Crib usiombe sasa hao mama zako Napiga mara moja unaondoka zako Saivi naomba Mungu anisamehe Na mapepo yote nakemea Shetani ni mbaya apotee Nimekosa hata pa kuelekea Baba Mungu nishike mkono Nimekukosea sana Oh Lord Ufuska umefika kikomo Please forgive me, No More Lord, lord forgive me for my sins, sins She said, lord see i'm on my knees, knees yeah She said, lord forgive me for my sins, (forgive me forgive me) Lord, see i'm on my knees, knees (forgive me forgive me)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out