Lyrics

Hmmm Ah hmmm (Mr Lg) Leo ni siku nzuri umetimiza miaka kadhaa Ashukuriwe Rabana na wazazi waliokuzaa Furaha imeshamili umependeza sana umeng'aa Siku yako imefana Maisha marefu mema Habity wangu wee ndio kipenzi changu Leo ni siku vako laazizi wa moo Uvungu wangu mtunza siri zangu Waubani wangu haujajaaliwa choyo Happy Birthday to you, to you Happy Birthday to you, to you Happy Birthday to you, to you Happy Birthday to you, to you Mungu akuzidishie amani, mpenzi wangu wee Kamwe sitakushusha thamani, habity wang wee Laaziz waubani wa mwandani, nuru yangu wee Yaani kama umeletwa duniani, kwaajili yangu wee Habity wangu wee ndio kipenzi changu Leo ni siku vako laazizi wa movo Uvungu wangu mtunza siri zangu Waubani wangu haujajaaliwa choyo Happy Birthday to you, to you Happy Birthday to you, to you Happy Birthday to you, to you Happy Birthday to you, to you Basi tukate cake kata kata Lolo lololo Kata kata Ahhhh Ale tuimbe sote, imba imba imba imba Lolo lololo Twendeni kati tuiumuike tucheze Cheza cheza Lolo lololo Cheza cheza Ahhhh
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out