Lyrics

Wasichana Hoye (Hoyeee!!!) Twapaka foundation ama tubaki vienyeji (vienyeji) Mtoto wa watu mie Kienyeji wa ghetto mie Wapi Prity Vishy Mnanionea sana nyie Nisipojipenda Ntapendwa na nani eeh Kama ni pombe bado Shisha sigara bado Nasema innocenti bado Hata server kufungua bado Kienyeji eeeh Kienyeji aaaaaah Mwana wefwe Jacky Vike Vienyeji eeeh Vienyeji aaaaaah Zero budget Zero budget Mi ni zero budget Kienyeji zero budget Atchuu Atchuu Atchuu Atchuu Atchuu Mammito Atchuu Atchuu Atchuu Atchuu Atchuu Una ng'ang'ana ng'ang'ana sana aaah Kung'ara ng'ara sana Unajipodoa podoa dada Ili kufurahisha wababa Mimi sio wa pizza Chapo dondo nishashiba Tena jikoni niko poa Penzi moto halitapoa Tena jikoni niko poa Penzi moto halitapoa aaah Kama ni pombe bado Shisha sigara bado Nasema innocenti bado Hata server kufungua bado Kienyeji eeeh Kienyeji aaaaaah Governor Nairobi Johnson Sakaja Vienyeji eeeh Vienyeji aaaaaah Former Kienyeji Zero budget Zero budget Mi ni zero budget Kienyeji zero budget Chini chini chini Vince mmmh ukikuna tako Usikate kucha kwa meno Katika katika katika Aaaah Eddy Butita Watu wa Kitale Kakamega Mombasa Kula miondoko Kiuno kiuno kiuno kiuno aaaaah Atchuu Atchuu Atchuu Salimia Masai wa Nairobi Leshinka William Iriz what iriz Pesa Inasafisha watu Lakini wengine wamekataa kung'ara Ita waiter wewe eeeeeeh Hio ndio shida ya kuingia club na mia mbili Unakunywa maji mpaka hasubui Aaaaaaiih wapi konki master Atchuu Atchuu Makosa one very big mistake Heheeee wambo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out