Lyrics

'Si kama vipi nataka kwenda nawe Au kama vipi nenda kajiandae Basi kama vipi twende wote tamashani honey twende tuka bless Tabia hiyo naomba usiniletee Jua mi siwezi kwenda nawe Tafuta mwingine wapo wengi mitaani Haiwezekani mi kwenda nawe Wewe kwangu ndio nathamani Ndio mana naomba kwenda nawe tamashani Mchumba we usinizuge Tena kama vipi naomba ukaoge Kaka mi sitaki Mambo hayo nimesema mi sitaki Yataniumiza tena pisha Tena naomba uachane na mi kabisa Tatizo nini mama Linasababisha unakataa Wewe ni wangu mamaa Ukikataa utaninyima raha 'Si kama vipi nataka kwenda nawe Au kama vipi nenda kajiandae Basi kama vipi twende wote tamashani honey twende tuka play Tabia hiyo naomba usiniletee Jua mi siwezi kwenda nawe Tafuta mwingine wapo wengi mitaani Haiwezekani mi kwenda nawe Kama vipi bora kubali mchumba Uende ukawaone wanachemba Wakiwa stejini wakitamba Toka East Zuu Yani wana rap na kuimba Aaah kumbe basi itakuwa burudani Kama wanachemba wote mtakuwa nanyi Haidi kuwa pamoja nami Usiniletee mapepe tukifika tamashani Sijui nielewe watakuwa nanyi Sijui itakuwaje fujo mitamboni Nami nakuita sinyorita Twende wote tukabaliz na kula bata 'Si kama vipi nataka kwenda nawe Au kama vipi nenda kajiandae Basi kama vipi twende wote tamashani honey twende tuka bless Basi pia njoo chumbani tuvae Nimekubali tu mimi kwenda nawe Ni furaha kuwa nawe tamashani Honey twende tukabless Usione aibu kwani ndani tumeshafika Sogea Karibu kata kiuno tingishika Njoo tucheze cheze kwa mapozi huku ukideka Ringa ringa zungusha kiuno mtoto wa Afrika Basi kama vipi manzi njoo tuzame dip Napenda usiwe na bif nioneshe unavyonitenda Zip mi nakwenda na Jip hizo siwezi kuskip tawaumiza wanachemba Uma leo umetoka sexy Umengaa ndani ya hizo pamba nyepesi Huku ni Mez B pembeni na Ray C Ni Nura njoo tungae wote baby 'Si kama vipi nataka kwenda nawe Au kama vipi nenda kajiandae Basi kama vipi twende wote m tamashani Honey twende tuka bless Basi pia njoo chumbani tuvae Nimekubali tu mimi kwenda nawe Ni furaha kuwa nawe tamashani Honey twende tukabless
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out