Lyrics

Kwani nimewekewa madawa, siwezi kukuacha Kila mahali unaenda mi nakufuata Siogopi kukuambia, mi nakupenda Watu wa wivu nao zao ni kusemasema Huyo manzi alinipigia simu mi hata simjui Mi nimekuwa studio, ati tulikuwa naye wapi juzi Hizo ni uwongo na unajua Mlango yangu iko wazi, we ukitaka kurudi nimeifungwa Unasema hapana, hapana Huku ukilia mi navumilia Mi nakazana, nakazana After hii yote, siamini bado unawezaniambia... (Sana) Nakuaga mi kwaheri Nami ninakutakia la heri Kukupenda mi siwezi Jamani, mpenzi kwaheri Nakuaga mi kwaheri Nami ninakutakia la heri Kukupenda mi siwezi Jamani, mpenzi kwaheri 2 (Jua Cali) Ninashughulika kila kitu yangu irudi fiti Vile ulipotea tu, watu mtaani wakafikiria nimechizi Silali, kusema ukweli sikuli Kejani bana hata siku hizi hata situlii Nipige makofi labda naota Ama nikuache, pia naskia ni kama nimechoka Kujitetea pali niko au pali siko Nasi tumetupa, miaka sita hivyo Unasema hapana, hapana Huku ukilia mi navumilia Mi nakazana, nakazana After hii yote, siamini bado unawezaniambia... (Sana) Nakuaga mi kwaheri Nami ninakutakia la heri Kukupenda mi siwezi Jamani, mpenzi kwaheri Nakuaga mi kwaheri Nami ninakutakia la heri Kukupenda mi siwezi Jamani, mpenzi kwaheri 3 (Jua Cali) Hasira ni ya nini, bana tulia Biashara yetu bado mi nimeishikilia Na nguvu yangu yote, naweza Pesa zako kuna mali poa nimeiweka Unaweza chuna kadhaa ukitaka Zile zitabaki, nunua nazo shamba Lazima tufikirie maisha yetu ya mbele Sio kila siku kelele kelele Bridge (Sana) Tukiwa na wewe Mambo yako yenda kombo Japo nisonge hapo, matatizo yako yakoma (Sana) Nakuaga mi kwaheri Nami ninakutakia la heri Kukupenda mi siwezi Jamani, mpenzi kwaheri Nakuaga mi kwaheri Nami ninakutakia la heri Kukupenda mi siwezi Jamani, mpenzi kwaheri Tukiwa na wewe Mambo yako yenda kombo Japo nisonge hapo, matatizo yako yakoma (Sana) Nakuaga mi kwaheri Nami ninakutakia la heri Kukupenda mi siwezi Jamani, mpenzi kwaheri Nakuaga mi kwaheri Nami ninakutakia la heri Kukupenda mi siwezi Jamani, mpenzi kwaheri
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out