Lyrics

(QS) True Boy, True Boy (Productive Records) In the building baby, True Boy (Wasafi) Hivi nyi' ma-MC mnachoimba kitu gani? Mara bangi, mara matusi, sa' ndo' muziki gani? Hii ni Hip-Hop, H.O.P (True Boy) kwa sisi wa burudani (argh) Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani Hivi nyi' ma-MC mnachoimba kitu gani? Mara bangi, mara matusi, sa' ndo' muziki gani? Hii ni Hip-Hop, H.O.P (True Boy) kwa sisi wa burudani (argh) Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani Hata bibi yangu mi' aliniambia, mwanamke anahitaji kubembelezwa Kupetipeti matunzo pia, ukienda rafu utampoteza Muziki ni mfano wa binti muzuri Na ndio maana namtunza kwa vazi na uturi Aah, piga kimya, we ndo haufai kabisa hauna maana Wabana pua kila siku mnarogana Bibi yako alikuambia muziki ni kama binti Mbona unawachezea unawatema kama big G Mara Wema, mara Jokate, mara Naj Mara Penny, je mnafanya mziki mpate mabinti? Ooh, hata wazee wazamani, walishasemaga kazi na dawa Cha muhimu jukwaani, ni kuhakikisha wanapagawa Kwa michezo ya kuringa ringa, ndo huwa wanadata Badilika usiwe mjinga, utawakamata Hivi nyi' ma-MC mnachoimba kitu gani? Mara bangi, mara matusi, sa' ndo' muziki gani? Hii ni Hip-Hop, H.O.P (True Boy) kwa sisi wa burudani (argh) Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani Hivi nyi' ma-MC mnachoimba kitu gani? Mara bangi, mara matusi, sa' ndo' muziki gani? Hii ni Hip-Hop, H.O.P (True Boy) kwa sisi wa burudani (argh) Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani Muziki wenu ushirikina ndio umetawala Q chilla analalama anasema umemroga Mganga wako aliekutoa umemkimbia hujalipa Bila scandal za magazeti basi huskiki Ah, mi' ni mti wenye matunda, milele siogopi kupigwa mawe Ubaya wenu wengi kayumba, elimu mliitupa sandakalawe Bado hujanishawishi, bongo fleva inanipa kichefu chefu Kwanza nyie malimbukeni wa umaarufu, mnalenta maringo mpaka kwa mashabiki Wabana pua nyie watoto sio riziki Mnavaa nguo za dada zenu, zinawabana mapaja nyie makaka duu Aah, nyie watoto mchele mchele (hayo matusi bwana) Kwenye show viuno mbele mbele (mbona unatutukana) Aah, nyie watoto mchele mchele (hayo matusi bwana) Kwenye show viuno mbele mbele Nimewanyamazisha, brazameni vipi we bado unabisha? Hata mi' n'namengi n'nayajua Ila we ni mtemi utaanzisha utata Michezo yenu kutoboa pua Bora ninyamaze usinipige mbata Hivi nyi' ma-MC (MC) mnachoimba kitu gani? Mara bangi, mara matusi, sa' ndo' muziki gani? Hii ni Hip-Hop, H.O.P (True Boy) kwa sisi wa burudani (ah, wapi?) Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani Hivi nyi' ma-MC mnachoimba kitu gani? Mara bangi, mara matusi, sa' ndo' muziki gani? Hii ni Hip-Hop, H.O.P (H.O.P eh) kwa sisi wa burudani Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani Ha-ha-ha, umepaniki brother Aah wapi? Nani kapaniki? Acha uoga dogo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out