Lyrics

We dada ukishapenda penda kweli husije kuniacha dolo Oya we hunitaki vipi muhuni ndo nishakufollow Hatuwezi kuachana leo umenshtukiza Ungenipanga mapema nisingejiuliza Leo leo mbona tungemaliza Huo ushamba unaolewa nitakuumiza Weka tena Demu wangu nimekupatia shida Kukutongoza kidogo changu Hiki najitosheleza kipi ulikosa We mchumba ulipata cha ajabu leo unaniacha Eti unasema una bahasha wako Kudadeki nakupenda ww na huyo bwana ako Nimesema sikuachi Nakupenda wewe na huyo bwana wako Ooh jamni kudadeki nakupenda wewe Na huyo bwana wako Nimesema sikuachi Nakupenda wewe na huyo bwana wako Oya we (oya we) Siulinifunza nikipata akiba nichange Ili ata kachumba nipange Nilikua sijui ukanifunza michezo ya kwamparange Ukawatema masponsa vipande Ukasema yanini nidange Ukanikataza mamoshi sigara mibange(kuma nisha nini) Bebe yangu mama mtu (mi sikuachi) Oya kama noma na iwe noma (nakuachaje sasa) Mi mwendo wakung'ang'ania kama ruba(mi sikuachi) Mana muhuni nshagharamia(nakuachaje sasa) Bebe yangu mama mtu (mi sikuachi) Afutatu zangu ushakula sana (nakuachaje sasa) Mi mwendo wa ruba kung'ang'ania(mi sikuachi) Muhuni nshagharamia (nakuachaje sasa) Weka tena Demu wangu nimekupatia shida Kukutongoza kidogo changu Hiki najitosheleza kipi ulikosa We mchumba ulipata cha ajabu leo unaniacha Eti unasema una bahasha wako Kudadeki nakupenda ww na huyo bwana wako Nimesema sikuachi Nakupenda wewe na huyo bwana wako We dada ukishapenda penda kweli husije kuniacha dolo Oya we hunitaki vipi muhuni ndo nishakufollow Oya we hunitaki vipi muhuni ndo nishakufollow
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out