Lyrics

Niko na mawili kwenye kichwa Mapenzi au pesa nasiwezi kupoteza vyote Uulala, Hunipi amani hunipi pressure acha ntafute pesa Nasiwezi kupoteza vyote uuulala uuulala uuulala uulala ulalaa,... Hello hello hello i know you love me, Hello hello hello i know you need me, Ila tatizo drama, nakujua wakupendwa sana, Unajiona wee wa maana unasumbua sana, Hivi ni kitu gani we hupatatii labda sikupi kwa wakati, Oh cheza na mwili wangu usicheze na akili, Usicheze na hisia zangu usicheze na mimi, Maana mtaji wa masikini nguvu zangu Mwenyewe, nguvu zangu mwenyewe ... Sina baba sina mjomba tajirii, nguvu zangu mwenyewe, mwenyewee., Niko na mawili kwenye kichwa Mapenzi au pesa nasiwezi kupoteza vyote Uuulala, Hunipi amani hunipi pressure acha ntafute pesa nasiwezi Kupoteza vyote uuulala uuulala uuulala uuulala ulalaa, Pesa nayo nini nilikosea mana inanikimbia usiku mchana naiita haitaki Kuitikia, vimeumanaa,tabu sanaa, Vyuma vimekaza inahitaji hekima sana, Namuomba usiku mchana Mungu aniipe, Na jasho la mnyonge Mungu alifute, Natumia akili sana nguvu ndo yote Si unaona babaa, bless me babaa ... Mtaji wa masikini nguvu zangu mwenyewe,nguvu zangu mwenyewe ... Sina baba sina mjomba tajirii, nguvu zangu mwenyewe mwenyewee... Niko na mawili kwenye kichwa Mapenzi au pesa nasiwezi kupoteza vyote Uuulala Hunipi amani hunipi pressure acha ntafute pesa Nasiwezi kupoteza vyote uuulala uuulala uuulala uuulala ulalaa .
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out